Speedy Finance Saccoss System The Honorable Minister visits the TMA Who are We TMA is one of the leading non-governmental organizations in research, mentorship, and consultancy in Tanzania TMA Saccos Tanzania Mentors Team at TMA Saccoss Meeting Mentoring Training Our Team Perticipating in Mentoring Training
07-05-2019

PS3 Project Recognition

PS3 Project Recognition

Waziri Jafo awapa Tano Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo (Mb) amepongeza Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta ya Umma (PS3) kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuimarisha mifumo ya TEHAMA ambayo imepelekea uboreshaji wa huduma bora kwa wananchi kupitia OR-TAMISEMI.

Waziri Jafo ameyasema hayo wakati wa kikao maalum na Uongozi wa Mradi huo kilichofanyika Ofisini kwake Mtaa wa Tamisemi, Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Mhe. Jafo alisema PS3 mmetuweka katika nafasi nzuri sana haswa katika eneo la Miundombinu ya TEHAMA, mmefanya kazi kubwa katika kila eneo linalohitaji mifumo, mmewajengea uwezo watumishi wetu hakika najivunia sana PS3 sababu mmeifanya kazi yetu imekua rahisi sasa kupitia mifumo hii.

Zaidi mmekuwa na ushirikino mkubwa sana kila tunapohitaji, mahusiano kati ya TAMISEMI na PS3 yamekua na kuimarika vya kutosha mmekuwa watu wema, wasikivu na watekelezaji kupitia uongozi wenu makini tumebadili vitu vingi sana kupitia Mradi wa PS3 alisisitiza Mhe. Jafo. “Nimeona leo niwaite rasmi kuwapongeza na kuwashukuru kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya najua tumekutana mara kwa mara kwenye kazi mbalimbali lakini leo nimeamua iwe maalumu nikutane na Uongozi niweze kuongea haya ambayo kila wakati nimekuwa nikitamani kuyafikisha kwenu” Aliongeza Jafo.

Jafo aliongeza kuwa Shukrani zangu haziwezi kuja mikono mitupu nitawakabidhi vyeti vya kuthamini mchango wenu mlioutoa katika Ofisi yangu: Cheti kimoja ni kwa ajili ya Shirika la Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ambao ndio wamekua wakitoa Fedha na cheti kingine ni kwa ajili yenu Ps3 ambao mmekua watekelezaji wa kazi za mradi huu. “OR-TAMISEMI inajivunia kushirikiana na Ps3 katika kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi, kazi mnayoifanya imewezesha kuwa na Serikali yenye uwazi, maendeleo endelevu na ustawi wa pamoja” alimalizia Jafo.

Mkurugenzi wa Mradi wa PS3 Dr. Emmanuel Malangalila ameishukuru Serikali kwa ushirikiano walioupata wakati wote wa utekelezaji wa kazi za mradi wa PS3. 

Text only block

Contrary to popular belief, Lorem Ipsum is not simply random text. It has roots in a piece of classical Latin literature from 45 BC, making it over 2000 years old. Richard McClintock, a Latin professor at Hampden-Sydney College in Virginia, looked up one of the more obscure Latin words, consectetur, from a Lorem Ipsum passage, and going through the cites of the word in classical literature, discovered the undoubtable source. Lorem Ipsum comes from sections 1.10.32 and 1.10.33 of "de Finibus Bonorum et Malorum" (The Extremes of Good and Evil) by Cicero, written in 45 BC. This book is a treatise on the theory of ethics, very popular during the Renaissance. The first line of Lorem Ipsum, "Lorem ipsum dolor sit amet..", comes from a line in section 1.10.32.

The standard chunk of Lorem Ipsum used since the 1500s is reproduced below for those interested. Sections 1.10.32 and 1.10.33 from "de Finibus Bonorum et Malorum" by Cicero are also reproduced in their exact original form, accompanied by English versions from the 1914 translation by H. Rackham.

Full Image only
Share on